SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 8, 2013

CDRB tawi la Azikiwe Premier laadhimisha wiki ya mteja duniani

 Afisa wa Beni ya CRDB tawi la Azikiwe Premier - Kitengo cha Wateja Maalum - Augusta Mfuru (kushoto) akimhuduma Mteja wa Benki hiyo,ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Mhe. Assumpta Mshama.
 Afisa wa Beni ya CRDB tawi la Azikiwe Premier jijini Dar es Salaam,Veronica Kivuyo akitoa huduma kwa mteja wa Benki hiyo,aliyefika katika tawi hilo.Huu ni utaratibu wa Benki ya CRDB uunaokwenda sambamba na Madhimisho ya Wiki ya Mteja Duniani yanayoadhimishwa kila ifikapo wiki ya kwanza ya Mwezi Oktoba ya kila mwaka.
 Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier 
 Wateja wa Tawi hilo wakiwa wameketi kwa utaratibu unaotakiwa wakati wakisubiria kupatiwa huduma.
 Afisa wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier - Kitengo cha Akaunti za Serikali - Ibrahim Mgorow (kushoto) akifafanua jambo mbele ya Meneja wa Tawi hilo, Fabiola Mussula (wa pili kushoto) pamoja na wafanyakazi wengine  wa Benki hiyo wakati wa muendelezo wa Kuadhimisha Wiki ya Mteja Duniani, inayoadhimishwa kila ifikapo wiki ya kwanza ya Mwezi Oktoba ya kila mwaka.
 Meneja Mikopo kwa Wafanyabiashara wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Mary Kimasa (kushoto) akimsaidia mteja kutumia Mashine ya kutolea pesa  alipofika kwenye benki hiyo, ikiwa ni sehemu ya  wiki ya mteja duniani ambayo huadhimishwa kila wiki ya kwanza ya Mwezi Oktoba ya kila mwaka.
 Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Azikiwe Premiera, Fabiola Mussula (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa kitengo hicho.
 Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula (pili kulia) akisaidia kutoa huduma kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Wiki ya Mteja Duniani 
 Meneja wa Utawala wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Asha Mtambalike (kushoto) akiwonyesha Wenzaje kitu kwenye kompyuta.
 Afisa wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier - Kitengo cha Akaunti za Serikali - Ibrahim Mgorow akihudumia wateja wake.
 Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Azikiwe Premiera, Fabiola Mussula (kulia) akisalimiana na mmoja wa Wateja Maalum wa Benki hiyo - Kitengo cha Wateja Maalim, Cosmas Takule.
 Picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi na Wateja.
CHANZO: MICHUZI MATUKIO.

0 comments:

Post a Comment