
Sheikh Ponda akiwa Chini ya
Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake
inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.

Sheikh Issa Ponda akiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Morogoro jana kusikiliza kesi yake

Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi
la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.Sheikh Ponda
alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu Ambayo
inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano Hadhara mwezi
uliopita.Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013.Mshitakiwa
Amenyimwa Dhamana na Amerudishwa Rumande.

Ulinzi Mkali ukiwa umeimarishwa Mahakamani jana wakati kesi hiyo ikiendelea.

Wafusi wa Sheikh Ponda wakiwa
wakiwa mahakamani leo kusikiliza kesi ya Kiongozi wao iliyokuwa imetajwa
mahama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro.
**==**
Hatimaye mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima dhamana katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kutokutii amri halali, kuharibu imani za dini na kushawishi na kutenda kosa.
CHANZO: H@ki Ngowi




0 comments:
Post a Comment