

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shukrani toka kwa Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lyimo baada ya kuzindua nembo ya jiji jipya la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo

Waziri wa Ujezi John Magufuli Akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo wa kuwa mkaazi wa heshima wa Arusha toka kwa Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha ufunguo aliokabidhiwa na Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati rasmi ya kuuzindua mji wa Arusha kuwa jiji Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiwa ameketi bega kwa bega na Mama Mary Chatanda katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji



Picha juu ni sehemu ya Umati mkubwa wa Wanaarusha waliojitokeza Kwenye Uzinduzi wa Jiji la Arusha jana

Wazee mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi rasmiwa jiji la arusha

Rais Jakaya kikwete akimsikilzia Kwa makini Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo

Rais jakaya kikwete azisindua wodi ya kina mama

Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za kuzindua rasmi ujenzi wa barabara za jiji jipya la Arusha hapa akipata maelezo baada ya kuzindua wodi ya Wazazi

Rais jakaya kikwete akiondoka na kupungiwa na wananchi mbalimbali wa jiji la arusha baada ya kuuzindua rasmi mji wa arusha kuwa jiji.
Picha na IKULU




0 comments:
Post a Comment