Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Bi Beatrice Martin akipokea pesa taslimu Millioni nne kutoka kwa Mwandishi wa Habari wa Kituo cha ITV Sam Mahela asubuhi leo, Baada ya Mwandishi huyo kufanya juhudi binafsi za kuchangisha fedha kwa watu mbalimbali ili kumsaidia mama huyo kwenda kupata matibabu nchini India.

(Picha na Moblog).
(Picha na Moblog).

0 comments:
Post a Comment