Wananchi wa kijiji cha Kihonda Bwawani wilayani Mvomero wamelalamikia wilaya kuzuia ujenzi wa Madarasa na wanafunzi wanasoma kwenye vibanda vya nyasi wakinyeshewa mvua na kulazimika kukalia mawe kwa zaidi ya miaka minne .
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
0 comments:
Post a Comment