Taarifa ya uchunguzi wa tukio la kuuwawa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi iliyotolewa na tume ya haki za binadamu na utawala bora imebaini kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda Septemba 2 mwaka huu katika utekelezaji wa majukumu yake alikiuka sheria ya vyama vya siasa.
0 comments:
Post a Comment