SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 23, 2012

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Awaapisha Makatibu Wakuu Wapya Zanzibar


 Dk.Juma Malik Akili,Katibu Mkuu Wizara ya Miundimbinu na Mawasiliano

 Ali Khalil Mirza,katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Makaazi maji na Nishati
Mussa Haji Ali, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa ua Uhujumu wa Uchumi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Juma Malik Akili, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Nd,Ali Khalil Mirza, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Nd,Mussa Haji Ali, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar, jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akibadilishana mawazo na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ,baada ya kuwaapisha Makatibu Wakuu wa Wizara mbali mbali na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar

Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

0 comments:

Post a Comment