
Pozi to pozzzz..

Twende zetu ukumbini mpenzi….

Matina & Rachel wakitoka kanisani mara baada ya kufungwa kwa ndoa katika kanisa la KKT Mbezi Beach.

Mchungaji nae alimwaga wino akishuhudiwa na wapambe Deus Ntukamazina na Noela Ntukamazina

Matina Nkurlu akisaini cheti cha ndoa yao huku mke wake akihakiki kweli mumewe anaweka siani ya siku zote…lol

.Jamani rahaaaaa…hahahahahaha

Bi.Harusi akiwa na shemeji yake Masala mwenye miwani na wifi yake Nzigia…

Wakiwa kwa picha ya pamoja na maids wao…imetokelezea

Picha ya pamoja mara baada ya kufungwa ndoa….
Na H@ki Ngowi.





0 comments:
Post a Comment