Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanya watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa katibu wa jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania sheikh Ponda Issa Ponda kushinikiza aachiwe huru baada ya kushikiliwa na jeshi la polisi kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kudaiwa kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani jijini Dar Es Salaam.
Thursday, October 18, 2012
Jeshi La Polisi Limewatawanya Wafuasi Wa Kikundi Cha Kiislam Wanaodaiwa Kuwa Ni Wafuasi Wa Katibu Wa Jumuiya Na Taasisi Za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda Kushinikiza Aachiwe Huru .
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Thursday, October 18, 2012
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook




0 comments:
Post a Comment