Mamlaka ya bandari imekanusha taarifa za kuharibika kwa kituo cha kushusha na kupakia mafuta cha Kurasini, kunakodaiwa Kusababisha tatizo la uhaba wa mafuta ya petroli na dizeli linaloanza kujitokeza katika baadhi ya mikoa hapa nchni ikiwemo jiji la Dar Es Salaam.




0 comments:
Post a Comment