Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari akiongea wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Mbunge mstaafu wa Jimbo la Arusha Godbless Lema akiongea kwenye wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka katika
kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga
kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga
0 comments:
Post a Comment