Profesa Bernadeta Killian wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam akitoa mada jana mjini Dar es salaam kuhusu kitabu cha Profesa Goran Hyden cha Beyond Ujamaa in Tanzania wakati wa kongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambua mchango wake kitaalum.
Katibu Mkuu zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu akichangia mada jana mjini Dar es saam wakati wa kongamano la siku moja la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambua mchango wa Profesa Goran Hyden alioutoa ndani na nje Tanzania.Kulia ni Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukanda.
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar e salaam




0 comments:
Post a Comment