SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 17, 2012

WAANDISHI WA MICHEZO WATUNUKIWA VYETI KWA MCHANGO WAO KATIKA MCHEZO WA MASUMBWI.

Rais wa chama cha Ngumi Onesmo Alfred Ngowi ( kulia) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuwatunuku vyeti. Mwandishi wa habari Jimmy Tara kutoka ITV(kushoto) akikabidhiwa cheti chake na Mkurugenzi wa Kitwe General Traders,Ndugu  Lucas Rutainurwa.Mwandishi Fadhili Swala kutoka Mlimani TV (Kushoto) akichekelea cheti.
Alex Luambano (Kushoto) mwandishi  kutoka Clouds FM nae akitunukiwa cheti na kamanda wa kanda ya Temeke David Misime.
Julias Kihampa (kushoto) kutoka gazeti la Jambo Leo nae akichukua cheti. Wandishi waliotunukiwa vyeti katika picha ya pamoja na Kamanda David Msiime na Rais wa chama cha ngumi Onesmo Ngowi. 
Picha zote na Geofrey Mwakibete wa MO BLOG

0 comments:

Post a Comment