SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 2, 2012

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Ashiriki Sherehe za Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Bwawani Hotel Mjini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanayakazi wa Sekta mbali mbali za Serikali na Sekta Binafsi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEY DAY)zilizofanyika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kushoto) Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar,Zahrani Mohamed
Nassor,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi   Fedha tasilim Margreth Peter Mathew wa Nelia Hotel & Resort Zanzibafr, Shilingi za Kitanzania Laki Saba,(700,000/=)  kupitia Chama cha wafanykazi (CHODAU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,akimkabidhi   Fedha tasilim Kidawa Juma said Shilingi za Kitanzania Laki Mbili na Hamsini Elfu (250,000/=) Mfanyakazi Bora,wa Halmashauri  ya Wilaya ya Magharibi kupitia Chama cha wafanykazi (ZALGWU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawani
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati ) akishikana mikono na viongozi wakati wa Sherehe za  kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,na kuimba wimbo wa (Solidariti Foreva) wakinyanyua juu mikono kuonesha mshikamano katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika sherehe hizo  leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimkabidhi   Fedha tasilim Kidawa Juma said Shilingi za Kitanzania Laki Mbili na Hamsini Elfu (250,000/=) Mfanyakazi Bora,wa Halmashauri  ya Wilaya ya Magharibi kupitia Chama cha wafanykazi (ZALGWU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani
zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawani.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment