SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 31, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRAN IKULU JIJINI DAR


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mhe. Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mhe Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mhe Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi. Katikati yao ni mkalimani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mhe Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mhe Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
PICHA NA IKULU 

0 comments:

Post a Comment