MKUU wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza, amewaasa wafanyakazi wa kila sekta nchini kufanya kazi kwa bidii na uadilifu mkubwa.
Aliyasema hayo leo katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi iliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ambapo sherehe za kitaifa zimefanyika Mkoa wa Tanga katika Uwanja wa Mkwakwani na mgeni rasmi akiwa Rais wa Muungano, Jakaya Kikwete.
HABARI/PICHA: HARUN SANCHAWA, GPL




0 comments:
Post a Comment