
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Jaji Mkuu Mh Mohamed Chande Othman mara baada ya kuwasili katika sherehe za mahafali ya 11 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, mkoani Tanga

Rais Jakaya Kikwete akipokewa na Jaji Mkuu Mh Mohamed Chande Othman kwenye sherehe hizo

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Sheria mstaafu Mh Bakari Mwapachu

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Jaji Bwana

Rais Kikwete akisalimiana na mwakilishi toka PPF

Waalikwa wakimsubiri kumlaki mgeni rasmi


Wapiganaji wa habari wa mkoani Tanga walikuwepo kurekodi sherehe hii

Rais Kikwete akifunua kitambaa kuashiria kuwekwa kwa jiwe la msingi kwa jengo la hosteli ya wanaume chuoni hapo. Nyuma yake ni hosteli ya wanawake ambayo imekamilika

Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa hosteli ya wanaume toka kwa Msajili wa Mahakama ya Rufani Mh Francis Mutungi

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifunua kitambaa kufungua hosteli ya wanawake iliyopewa jina lake

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe kufungua hosteli ya wanawake iliyopewa jina lake

Mama Salma Kikwete akikagua moja ya vyumba katika hosteli ya wanawake chuoni hapo. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Celina Kombani na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mama Chiku Gallawa

Rais Kikwete akiongozana na uongozi wa chuo kuelekea kwenye mahafali

Baadhi ya wafanyakazi katika chuo hicho wakiwa katika mahafali

Waziri wa Sheria na Katiba Mh Celina Kombani (shoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh Chiku Gallawa na mkuu wa Wilaya ya Lushoto na viongozi wastaafu wa chuo hicho pamoja na wake wa Jaji Mkuu na mke wa mkuu wa Chuo

Wimbo wa Taifa

Mama Salma kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na katiba Mh Celina Kombani (kulia) na Mke wa Jaji Mkuu, Mama Saada Othman (shoto)

Mke wa Jaji Mkuu Mama Saada Othman akimpongeza Mkuu wa Chuo wa kwanza baada ya kupewa tuzo na Rais Kikwete

Rais kikwete na Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo wa sasa na uliopita pamoja na uongozi wa mkoa wa Tanga na wilaya ya Lushoto

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo na Jaji Mkuu Mh Mohamed Chande Othman akisoma hotuba ya ufunguzi wa Mahafali

Mama Salma Kikwete akipanda mti

Juu na Chini Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mh Chande Othman na Mkuu wa Chuo wakipozi na wahitimu wa Cheti cha Sheria


Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mh Chande Othman na Mkuu wa Chuo wakipozi na wahitimu wa Cheti cha Sheria

Rais Kikwete akimtunuku tuzo Balozi Paul Rupia aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo kilipoanzishwa mwaka 2000

Rais Kikwete akihutubia

Rais Kikwete akihutubia kwenye mahafali hayo
![]() |
| Rais Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo na Jaji Mkuu Mh Mohamed Chande Othman kwenye mahafali hayo |

Rais Kikwete akipanda mti
Credit To Michuzi





0 comments:
Post a Comment