Mtanzania
anaecheza Soko la Kulipwa katika timu ya White Caps ya Jijini Vancour
Canada Nizar Khalfan akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa
Tanzania Jakaya Kikwete jezi ya timu anayoichezea wakati alipokwenda
kumsalimu na Kumshukuru Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar Es
Salaam.
Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Post a Comment