SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 24, 2011

Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi Ya Mke wa Waziri Mstaafu Clement George Kahama Jana Jijini Dar es Salaam

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo katika kaburi la Marehemu Mary Kahama mke wa  Waziri wa Zamani na mwanasiasa mkongwe Clement George Kahama(aliyesimama watatu kushoto) wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni  jijini Dar es Salaam jana jioni. 
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Mary Kahama Mke wa Waziri mstaafu na Mwanasiasa mkongwe Clement George Kahama(aliyesimama  nyuma kulia) wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana jioni. 
Picha na Freddy Maro-IKULU  

0 comments:

Post a Comment