SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, May 27, 2011

HAPPY BIRTHDAY ABBA NDEZE!!

ABBA NDEZE 
Siku kama ya leo alizaliwa Mdau wa 24 SEVEN 365 anaitwa Bwana ABBA NDEZE, wa Nchini UINGEREZA.
Blogu hii inaungana na Familia yake, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote katika kukutakia siku njema iliyo na Furaha, Amani na Upendo, na pia Mafanikio katika maisha yako. 
Mwenyezi Mungu akujaalie Afya Njema,Maisha Marefu, Busara na Hekima katika siku zote za maisha yako.

0 comments:

Post a Comment