SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, April 17, 2011

MAUGO AMPA KICHAPO KASEBA

Yaani ilikuwa vuta nikuvute piga nikupige.
Kaseba akiwa amevua ‘gloves’ ulingoni huku pambano likitakiwa kuendelea.
Mada Maugo akiwa kanyanyuliwa juu juu na mashabiki wake.
Kufuatia kipigo alichokipata jana kutoka kwa mpinzani wake Mada Maugo, bondia Japhet Kaseba ametangaza kustaafu ndondi.
Kaseba alipata kipigo hicho kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ulimalizika katika raundi ya saba baada ya Kaseba kushindwa kuendelea na kujikuta akivua ‘gloves’ kabla ya Maugo kutangazwa mshindi.
Aidha, katika mchezo huo kulitokea fujo mbalimbali za hapa na pale zilizoletwa na mashabiki wa mabondia hao baada ya Kaseba kumkata mtama Maugo.

0 comments:

Post a Comment