Mwili wa katibu kata wa chama cha mapinduzi (CCM) kata ya Mgama wilaya ya Iringa vijijini Patrick Ng’ara ukiingizwa chumba cha maiti Hospitali ya mkoa wa Iringa asubuhi,katibu huyo ameuwawa na majambazi akiwa nyumbani kwake jana usiku.
Katibu wa mbunge wa jimbo la Isimani Bw Thom Malenga (kulia) akiwa na dereva wa katibu wa CCM wilaya Bw.Ally nje ya chumba cha maiti Hospitali ya mkoa wa Iringa.Na Francis Godwin Iringa.




0 comments:
Post a Comment