SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 21, 2011

HAMMIE RAJAB AFARIKI DUNIA!

Habari za kusikitsiha nilizozipata hivi punde zinasema kuwa Mzee Hammie Rajab amefariki dunia katika hospitali ya Amana jijini Dar es salaam alfajiri ya leo, ambako alikuwa amelazwa kutokana na ugonjwa wa malaria.
Mzee Hammie, alikuwa ni movie Director, Script writer na mtunzi wa hadithi za vitabu maarufu nchini Tanzania. Moja ya kazi zake maarufu kwa upande wa filamu ni movie ya Tears On Valentine Day, ambayo iko sokoni hivi sasa.
SISI SOTE NI WA MWENYEEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE SOTE TUTAREJEA. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI, AMIN.
Chanzo:

0 comments:

Post a Comment