SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, April 23, 2011

BEKA NYOTA NJEMA ILIYOANZA KUONEKANA ASUBUHI!!!!!

Msikilize mwenyewe Utakubali:

Ni Msanii mchanga anayekuja kwa kasi ya juu katika

medani ya mziki wa kizazi kipya hata kuwashtua wale

wakongwe waliopo juu na majina yao.

Hii ni kutokana na kipajii alichobarikiwa kijana huyu, mwenye umri mdogo, sauti nzuri na uwezo mkubwa wa kuimba.Kwa sasa yupo pale nyumba ya sanaa na vipaji THT akipikwa zaidi.
Siku za usoni na imani atakuja sumbua sana kwenye mziki huu wa Bongo Fleva, mliopo juu kaeni chonjo kijana huyo anakuja kuchukua nafasi.
Keep it up Beka usiridhike na hapo ulipo safari bado ni ndefu kuelekea kwenye mafanikio.

0 comments:

Post a Comment