akisalimiana
na baadhi ya wanachama wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam waliojitokeza
kumdhamini katika fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais, leo kwenye
Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.
Ridhiwani
Kikwete (wa pili kushoto) ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana
waliopewa jukumu la kuratibu shughuli ya kutafuta katika mikoa kumi
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa kumdhamini Mwenyekiti wa Taifa wa
CCM, Rais Jakaya Kikwete katika fomu za kuomba kuteuliwa kugombea
Urais, akijadiliana jambo na baadhi ya vijana wa chama hicho.
Baadhi
ya wanachama wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, wakimshangilia JK (hayupo
pichani) wakati akiingia kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jana,kuzungumza
na wanachama 350 waliojitokeza kumdhamini kwa kujaza fomu za kuomba
kuteuliwa kugombea Urais, leo kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es
Salaam.MAJAMBAZI WAWILI WAUWAWA ARUSHA
Polisi
mkoani Arusha wakipakia mwili wa Mmoja wa watu waliouawa kwa tuhuma za
ujambazi katika aeneo la Unga Limited Mjini Arusha.Habari zaidi bofya hapo chini;issamichuzi.blogspot.com/





0 comments:
Post a Comment