SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 10, 2010

HOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI 2010-2011

Waziri wa Fedha na Uchumi Mh Mustafa Mkullo akiingia Bungeni Mjini Dodoma leo kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/11.
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkullo akionesha mkoba wake kwa Wah. Wabunge baada ya kuingia Bungeni Mjini Dodoma leo tayari kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/11.

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkullo akijiandaa kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/11.

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulloa akisoma Bajeti ya Serikali ya 2010/11.

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI, MHE. MUSTAFA HAIDI MKULO (MB.), AKIWASILISHA KATIKA BUNGE MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2010/2011, TAREHE 10 JUNI, 201
 
   Kwa habari zaidi na issamichuzi.blogspot.com/          
          ************************
JK aialika na Twiga Stars Ikulu leo Mwenyekiti wa Chama cha Soka ya Wanawake nchini, Lina Mhando akisoma historia ya timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) mbele ya JK leo Ikulu jijini Dar ambako aliwaalika kuwapongeza kwa kufanikiwa kutinga fainali za Afrika
JK akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), alipowaita Ikulu, Dar es Salaam jana, kuwapongeza baada ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika Afrika Kusini Agosti, Mwaka huu. Rais ameahidi kugharamia malazi, chakula na posho kwa wachezaji wakati wa kambi ya maandalizi itakayoanza Julai
JK akwia kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Timu ya Twiga Stars wakati wa kuipongeza Timu hiyo ilipofanya vizuri (wa tatu kushoto mstari wa kwanza) ni Waziri wa Habari , Utamaduni na Michezo Mhe. George Mkuchika, na wa ( kwanza kushoto mstari wa juu ) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na michezo ndugu Seth Kamuhanda, kwenye sherehe zilizofanyika Ikulu mjini Dar es Salaam leo.JK akila pozi na Twiga Stars Wana Twiga Stara wakitoka Ikulu kwa furaha baada ya kuonana na JK
Na issamichuzi.blogspot.com/  

0 comments:

Post a Comment