Wakazi wa eneo la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
wakihamisha vyombo vyao baada ya kudai kuvunjiwa nyumba yao na mtu
aliyefahamika kwa jina moja la Mushi maarufu 'Nyambizi' akiwa na kundi
la watu na askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Mfwimi, jana. (Picha na
Fadhili Akida).
0 comments:
Post a Comment