
Toka
kushoto ni Katibu Mstaafu Bw.Abdallah,Abdulaziz na Mustapha.aliyechuchumaa ni Mwenyekiti wa sasa wa jumuiya ya
wanafunzi waishio Hyderabad Bw.Abdillah D. Nkya.wakiwa katika picha ya
pamoja kabla ya tafrija hiyo.

Bw.Mustapha akitanabaisha kwa ufupi Tafria hiyo kwa baadhi ya
wageni,toka kushoto ni Makamu Mwenyekiti mstaafu Bw.Sadallah Mbeyu,Bw.Nassib Ibrahim(
Nas Jr.),mwisho ni mtoaji habari wa
jumuiya hiyo Bw.Dan Msemo.

Baadhi ya wageni waalikwa wakibadilishana mawazo kabla yatafrija kuanza.

Makamu Mwenyekiti mstaafu Bw. Sadallah akifurahia movie pamoja na wageni waalikwa katikati ni Bw.Samwel pia alikuwepo.

Mbali kabisa ni Bwana
Ally S. Mgido's Mwanaharakati wa
24 Seven 365 (allyshams.blogspot.com) akihakikisha mambo yanakwenda sawia.

Mwenyekiti wa jumuiya akitafakari jambo pembeni yake ni mtoa habari wetu Bw. Dani Msemo..

Muda wa menu ulipofika
Mzee wa mipango Mustapha (
TataBoy) hakuwa mbali hapa
akiwa jikoni akiweka mambo sawa kuhakikisha kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa.

Makamu
mwenyekiti mstaafu akiandaa juisi ya ukwaju ili
waalikwa wapate kufurahia tafrija hiyo.

Mambo mazuri kama yanavyoonekana pichani ilikuwa burudani ya kipekee Tolichoki.

Hapa sasa mambo ya menu kama uonavyo waalikwa wanapata chakula cha pamoja.

Mmoja kati ya waalikwa Bw.Young Jr.(
a.k.a Mpota) pia nae alikuwepo katika tafrija hiyo.

Mambo ya maakuli yakiendelea kama uonavyo wageni waalikwa Bw.Alex Gondwe akiwa na Young Jr.(
Mpota).

Pia mmoja kati wa waalikwa ni mwanadada
Flaviana akipata menu huku akibofya simu yake.

Mambo yakiendelea wageni wakipata menu pamoja,mbali kabisa ni Bw.Ahmed Mwinyially akiteta jambo na Bw Murey.

Bw Murey Walid kama unavyomuona hapo akipata juisi ya ukwaju.

Makamu mwenyekiti mstaafu akiongea kwa msisitizo na katibu mstaafu hapo ni baada ya kumalizika kwa tafrija hiyo.

Mambo yamekwisha jamani hapa namuona Bw.Mustapha(
Tata Boy) akiaga kuelekea kwenye kikao
cha maandalizi ya mahafali Sinpur.
Picha na Habari na Ally S. Mgidos wa Blog hii.
0 comments:
Post a Comment