|
Baadhi ya wanafunzi wa shule za jijini wakiwa wamepanda katika gari dogo aina ya pick-up eneo la Mwenge Barabara ya Bagamoya jana. Hata hivyo wanafunzi wengine walikuwa wakining’inia katika gari hilo bila kujali usalama wa maisha yao. (Picha na Peter Twite) |
Saturday, May 8, 2010
TABU YA USAFIRI
Tabu ya usafiri jijini Dar es salaam
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Saturday, May 08, 2010
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook




0 comments:
Post a Comment