Mwalimu
Mkuu wa Shule ya Secondary Kilimangwido wilayani Pangani, Othman Mzirai
akipokea sehemu ya msaada wa vitabu vya secondari kutoka kwa Mkuu wa
kitengo cha Mahusiano benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji ikiwa ni msaada
toka benki kwa ajili ya kusaidia shule hiyo iliyokuwa na uhaba wa
vitabu. Kulia ni Meneja wa NMB tawi la Pangani, Elisa Elikunda.
Makabidhiano yalifanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment