SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 13, 2010

Mtoto anusurika ajali iliyoua watu 104

Mtoto aliyenusurika
Maafisa nchini Lybia wamesema mtoto mdogo amenusurika katika ajali ya ndege ya abiria nchini Libya iliyouwa watu 104.  
Waokoaji
Waokoaji wakitazama mabaki ya ndege Tripoli
Taarifa zinasema mtoto mdogo raia wa Uholanzi ndio pekee amenusurika katika ajali hiyo.

0 comments:

Post a Comment