SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 4, 2010

Morgan Tsvangirai atua dar kuhudhuria mkutano wa uchumi afrika

Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mh. Morgan Tsvangirai (katikati) akitoka nje ya chumba maalum cha viongozi (VIP) kilichopo Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere usiku wa kuamkia leo. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mh. Adadi Rajabu. Rais wa Zimbabwe Mh. Robert Mugabe anatarajiwa pia kuhudhuria mkutano huo.

0 comments:

Post a Comment