
Mgombea Ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chadema, Mathayo Torongey
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana baada ya
kutambulishwa. Picha na Michael Jamson
----
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
kimempitisha Mathayo Torongey kuwa mgombea rasmi wa ubunge kwa tiketi ya
chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze.
Akimtambulisha mgombea huyo kwa Waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri wa
Chadema, John Mrema alisema Torongey alipitishwa juzi na Sekretariati ya
chama kwa niaba ya kamati kuu.
“Kikao cha Sekretariati kilizingatia maoni na
ushauri wa wanachama na viongozi wetu wa ngazi za chini, Hivyo kwa kuwa
hakukuwa na kipingamizi chochote juu ya agombea, chama kilimpitisha
Torongey” alisema Mrema.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.....
No comments:
Post a Comment