Pages

Tuesday, April 5, 2011

PICHA ZA MATUKIO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo na Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa (katikati) na Mbunge wa Lupa Victor Mwambalaswa (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dr. Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment