Pages

Thursday, April 14, 2011

MHE. JANUARY MAKAMBA AANZA KAZI KWA KISHINDO


Katibu wa CCM Idara ya siasa na Mahusiano ya Kimataifa Mhe.January Makamba akizungumza na Mabalozi Kulia Balozi wa Japani Hiroshi Nakagawa,Balozi wa Uswisi Adrian Schlapfer,na Balozi wa Norwegian Ingunn Klepsvik kulia kwake akiwa amefuatana na katibu wa ubalozi Veslemoy Lothe Salvesen.

No comments:

Post a Comment