Wimbo huo wa WANGU umetengenezwa na Producer Bob Junior "Mr Chocolate Flava" kutoka studio ya SharoBaro.
Jide anasema hivi:
"Ni matarajio kuwa itakuwa ya Quality ya hali ya juu kuliko zingine zote zilizopita....
Watatu hao walikuja maalum kwa ajili ya ku shoot Video hiyo ya wimbo - Wangu
Walitumia muda wa wiki nzima kukamilisha zoezi hilo na kurejea nchini kwao South Africa. kwa ajili ya Editing"
Narudi serious tena kwenye game baada ya kujikita kwenye biashara mpaka muziki nikausahau kidogo ila hasidi haachi asili...Mtafurahi.
BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment