Pages

Tuesday, April 5, 2011

GELLY WA RHYMES SASA AJIKITA KWENYE MOVIE

Msanii anaejulikana kwa kutoa Video kali na za comedy Gelly wa Rhymes ameamua kufanya movie kibongo bongo, na movie hiyo ataanza kuishoot kesho akiwa na msanii mwingine aliesaliti mziki kiaina na kuhamia upande wa movie, PHD Hemedy, "movie hiyo itakuwa ni ya serious lakini pia ina vichekesho ndani, nimeandika script mwenyewe nikisaidiana na Hemedy" amesema Gelly
BOFYA

No comments:

Post a Comment