Baadhi ya akina mama wakifanyiwa uchunguzi wa figo na Amina Idd wa
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika moja ya vibanda vilivyopo
kwenye maadhimisho ya Siku ya Figo duniani kwenye viwanja vya Mnazi
Mmoja, Dar es Salaam.Picha na Mdau Richard Mwaikenda
No comments:
Post a Comment