Pages

Monday, May 24, 2010

HAPPY BIRTHDAY!!!!

Leo ni Tarehe ya kuzaliwa kwa mwanadada LOVENESS LOVE wa Dar-es-salaam Tanzania.
Blogu hii inaunganana na Familia yake, ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia siku njema iliyo na furaha, amani na upendo.
Mungu amjalie afya njema,maisha marefu,hekima na busara katika siku za maisha yake.
HAPPY BIRTHDAY DIVA LOVENESS LOVE!!!!!!
                         ***********************************
Leo ni Tarehe ya kuzaliwa kwa mwanadada HILLMARA UNDERSON wa Dar-es-salaam Tanzania.
Blogu hii inaunganana na Familia yake, ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia siku njema iliyo na furaha, amani na upendo.
Mungu amjalie afya njema,maisha marefu,hekima na busara katika siku za maisha yake.
HAPPY BIRTHDAY HILLMARA UNDERSON!!!!!!
                               ************************************
Leo ni Tarehe ya kuzaliwa kwa mwana B-BAND BANANA ZAHIR ZORO wa Dar-es-salaam Tanzania.
Blogu hii inaunganana na Familia yake, ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia siku njema iliyo na furaha, amani na upendo.
Mungu amjalie afya njema,maisha marefu,hekima na busara katika siku za maisha yake.
HAPPY BIRTHDAY BANANA ZORO!!!!!!

No comments:

Post a Comment