Leo ni Tarehe ya kuzaliwa kwa mdau
ABBA NDEZE wa
UINGEREZA.
Blogu hii inaunganana na Familia yake, ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia siku njema iliyo na furaha, amani na upendo.
Mungu amjalie afya njema,maisha mrefu,hekima na busara katika siku za maisha yake,Kila la heri.
HAPPY BIRTHDAY ABBA NDEZE!!!!!!
No comments:
Post a Comment