SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, March 4, 2012

HIVI NDIVYO VIPAWA(VIPAJI) VINAVYOHITAJIKA KATIKA KARNE HII SAYANSI NA TEKNOLOJIA, SWALI JE SERIKALI AU NCHI INAVITAMBUA VIPAJI KAMA HIVI NA VINAENDELEZWA VIPI KWA MAENDELEO YA TAIFA??!!

Katika kijiji cha Uplands jimbo la Kiambu kuna kijana mmoja wa umri wa miaka 20 kwa jina Daniel Njuguna Ng'ang'a ambaye amewashangaza wengi kijijini kwao kutokana na uvumbuzi wake wa kisayansi wa vifaa vya mawasiliano na usalama.Kijana huyo ambaye alianza utukutu wa uvumbuzi tangu akiwa na umri wa miaka sita na ambaye ana nia ya kusomea uhandisi sasa amevumbua mtambo wake wa mawasiliano ya simu ambao unaweza kutumika kufungua milango,kuzima na kuwasha taa, kutangaza na hata kuanua nguo.
Na kama anavyotuarifu Lolani Kalu kijana huyo ana ari ya kufungua kituo chake cha redio ili kuhamasisha vijana kuhusu maendeleo.
BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment