SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, March 4, 2012

Dar Women's Celebration Ya Shamim Mwasha Funika Bovu!!

Muandaaji wa Sherehe ya siku ya Mwanamke lenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani,Shamim Mwasha akizungumza machache wakati wa hafla hiyo ambayo imefana sana usiku huu kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam

MC wa Hafla hiyo,Regina Mwalekwa akimtambulisha,Shamim Mwasha ambaye ni Muandaaji wa Sherehe ya Mwanamke lenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam.
  Picha Zote na Ankal Michuzi
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment