SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, November 10, 2011

Mtanange Wa Jamal Bakhresa na Waandishi Wa Habari!!!

amal Bakhresa akitumia helmeti kuwakung'uta waandishi wa habariwaliodaiwa kumpiga picha yeye na mwendesha pikipiki mwenzakewalipogongana katika Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana. Anayejaribu kumzuia ni Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Richard Mwaikenda ambaye alipigwa na helmeti hiyo kichwani.
 Jamal Bakhresa akitumia helmeti kuwakung'uta waandishi wa habari waliodaiwa kumpiga picha yeye na mwendesha pikipiki mwenzake walipogongana katika Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Picha na Mpiga Picha Wetu
Credit To H@ki Ngowi

0 comments:

Post a Comment