SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, November 8, 2010


UMOJA WA WANAFUNZI WA KITANZANIA
--------
HYDERABAD-INDIA
(TSAH)
Wanafunzi Tsah
Uchanguzi wa Viongozi
Tarehe 7/11/2010
Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote wa Kitanzania, wanaosoma katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za kitaaluma hapa Hyderabad India, kuwa ule Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa Umoja wa TSAH Uliofanyika katika tarehe iliyotajwa hapo juu jana katika ukumbi wa Community Hall, hmt bearings, Sainikpuri kuanzia saa saba mchana.
Na wafuatao ndio waliochaguliwa katika uchaguzi huo chini ya usimamizi wa Kamati ya uchaguzi:

MWENYEKITI:
  Humphrey Damas

MAKAMU MWENYEKITI:
Mathias jackson

KATIBU:
 John Gagah

KATIBU MWENEZI:
          Flaviana Chacha
Uongozi unawaomba wanajumuiya kutoa ushirikiano na mshikamano wa kutosha kwa viongozi wetu ili kulisukuma gurudumu la jumuiya yetu mbele.
Mungu ibariki TSAH, Mungu ibariki Tanzania.
Tabagi, A
Mwenyekiti, Kamati ya uchaguzi

0 comments:

Post a Comment