SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, October 13, 2010

Mtandao Wa Uwakala Wa Kuuza Tiketi Za Ndege Wazinduliwa Leo Jijini Dar
Mwenyekiti wa Travel Start,Stephan Ekbergh (kulia) akiongea leo wakati wa uzinduzi wa mtandao wa uwakala wa kuuza tiketi za ndege (Online Travel Agency) uliofanyika usiku huu katika hotel ya Kilimanjaro Kempiski.Kushoto ni Mkurugenzi wa Travel Start - Tanzania,Mustafa Rajan na katikati ni Meneja mkuu wa Travel Start,Sukaina Abbas.

Wadau wa Fast Track,Abbas Rajan (kulia) na Hasnain Rajan wakifuatilia uzinduzi huo.Timu ya wauzaji wa tiketi katika mtandao wa uwakala wa kuuza tiketi za ndege (Online Travel Agency).toka kulia ni Sofia Mzena,Anazad Sadia,Hasnain Rajan (pili toka kushoto) pamoja na Sukaina Abbas,wakiwa na Mwenyekiti pamoja na Mkurugenzi wa Travel Start-Tanzania wakati wa utambulisho wao kwa wageni waalikwa.
Wageni waalikwa.
Wafanyakazi wa Fast Track pamoja na wale wa Travel Start wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo.
Wadau wakipeana mawili matatu.
Watu wengi walihudhuria uzinduzi huo wa mtandao wa uwakala wa kuuza tiketi za ndege (Online Travel Agency) katika hotel ya Kilimanjaro Kempiski jioni ya leo.
unaweza tembelea mtandao huo kwa link hiyo hapo chini:
www.travelstart.co.tz

1 comments:

Anonymous said...

Kweli hii ni habari njema. Kukata tiketi ya ndege online ni njia bora ya kuokoa kiasi kikubwa cha fedha yako.

Hata mimi nilinunua tiketi ya ndege online (http://www.tiketi.com) kwa bei nafuu sana.

Post a Comment